Enough Mama Brayo!!!!

Enough is Enough mama Brayo,
Siwezi vumilia kama baba Vayo,
Why don’t you be like mama Caro,
Nasema its enough mama Brayo,

Naamka asubuhi na mapema kutafuta kibarua kwa Halima,
Jioni narudi mapema sipitii hata kwa mama pima,
Badala unipe hata kiss the whole day nimekumiss,
Unanitupia maneno huku unaendelea kuni accuse,

Unasema nimecome mikono tupu huku sijabeba hadi supu,
Do you think ni kazi ya office nafanya ile ya kupata marupurupu,
Jinga ghasia other women help their husband’s work si kukaa Zuzu,
Do you think Mama Otieno alilala hadi wakanunua Isuzu?
Huwezi hata iga mama kanga,
Ufuge hata Kanga,
Kila siku nipe pesa za matanga,
Kwani nafanya kazi ya umakanga?

Am not mad at you unajua nakependa kama ‘gwaru’,
We need to help each other hata kama nina nguvu za kifaru,
Leta mafuta nilete chumvi lete shilingi nilete ndururu,
Come on now nishike bega nikushike kiuno zote tupige Nduruu,

I love you now i love you more but tabia lazima i change,
Shika hii mia nunua sukari nunua mafuta and keep change,
Kila kitu nimesema lazima nitasema Enough is enough mama Brayo….

#bonny

Advertisements

Author: mogesi

Simple guy ready to make a difference through writing

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s