(reply to Enough mama Brayo) Listen Baba Brayo!!!!!!!

Heheheeeee ‘Baba’ Brayo,
Do you think wewe ndio baba Brayo,
You can’t be ashamed kutaja mama Caro,
Nani hajui wewe ndio ulimtoa uvajo,
Unafikiria ni raha kushinda kwa hao,

Ati unaamka asubuhi kwenda kwa Halima,
Nani hajui wewe ndio unamlipia stima,
Mwanaume gani hadi unga unapima,
Mafuta sukari kila kitu unapima,

By the way unakumbuka yule makanga,
The one we met tukiwa disco matanga,
We met tukaenda hadi Namanga,
Si unajua vile ananimezeanga ,
Ni yeye baba Brayo juu nilimpeanga,

You complain i stay in the house na bado,
Why not open a business for me like Nado,
Hata kama ni ya kuuza  avocado,
Anyway uliacha kuenda kwa Atieno ama bado,

Mwanaume gani mwenye anapenda kujiinua,
Even my inner wear hujui vile nanunua,
Miguu tu ndio unaniambia   panua,
Two shots kwa nguvu unaanza kupumua,
Kwenda huko na mia yako nini itanunua,
Kujibeba kwani wewe ni ng’ombe tunakamua,

Ati i love you mama Brayo jaribu kuniguza,
Kila siku vituko pesa nikikuuliza ,
Don’t touch me i have reached high voltage,
Not everyday unanifanya your hostage,
Its time I get myself out of this bondage,

Huwezi kuniguza huwezi kunimess,
Its you who started all this mess,
Make changes kama unataka nikukiss,
Make me happy kila siku nikumiss,

Baba Brayo Mimi si kama mama Vayo,
Nakupenda vile napenda our son Brayo,
But kila siku matusi uko nayo,
Kunigombeza hadi unanivunja moyo,
Nilikupenda nakupenda nikakupa wangu moyo,

I will change if you change i promise,
But if you don’t remember i won’t compromise,
A family father mother children is all it comprise,
Nipe mapenzi nikupe mapenzi tuwe wapenzi,
Si kila siku ukifika lazima iwe kufanya Mapenzi,

Nakupenda baba Brayo….

#bonny

Advertisements

Author: mogesi

Simple guy ready to make a difference through writing

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s