(Brayo reply to his parents Baba and Mama Brayo) So i am a bastard !!!!!

Calling you baba is what i had mastered,
Lakini sasa nimegundua mimi ni bastard,
Nimeskia mkibonga kuhusu mrembo Vayo,
Nimekuwa nikipush na yeye mimi Brayo,

Mbona mnashtuka si kila mtu na confession,
Tulia mama tulia baba hadi nifike conclusion,
Daddy kuniangalia hivyo inaleta confusion,
Hii si ile time i have to talk in condition,
Its my time to give my confession,

Do you remember ile time tulienda Nairobi,
Nilikutana na Msichana anaitwa Nyokabi,
It was the first time yangu kuenda lodging,
We did it without a formal coaching,
Naskia her stomach has started protruding,

Do you know babake  ni supporter wa TNA,
Yule sister yake Mkubwa huitwa Tina,
Babake amesema lazima they do DNA,
Haikua intentional tulianza tu na kiss,
Kumbuka babange ni yule Mkisii,
Hasira zake ni kama mkizi,

Mama unakumbuka yule mama anauza vitenge,
Yule anaishi kule General Mathenge,
Yeye huwa na shamba ya malenge,
I picked some tukiwa na David Mathenge,
Naskia washagundua mahali tuliuza malenge,

Daddy do you remember yule mama Betty,
The one you told she is very pretty,
She has been taking me to night parties,
Na lazima angeniangushia panties,

Kuvuta bangi na sigara was not my vision,
But now kila siku imekuwa my Mission,
Msilete feelings you two started the motion,
kuletana juu badala ya kunipa motivation,

Before i forget i was suspended due to doping
Finishing school was all i was hoping,
Na ile pesa ya chama nilifanyia Caro shopping
Si unajua alikuwa na ball lazima abortion,
It was the only way and the better option,

I love you mom i love you dad everyday,
Si you stop kugombana huku everyday,
Don’t faint mimi bado ni mtoto Vajo,
But soon naona nikiiutoa na Vayo,

Baba nikuulize ni ukweli unatoa blanks ,
Sorry mom nilikuwa natoa thanks,
But niulize mimi Brayo ukweli ni bastard?
……..#bonny

Advertisements

Author: mogesi

Simple guy ready to make a difference through writing

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s